Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, March 15, 2017

Mrisho Mpoto Awachana wanaohoji Vyeti vya Makonda

Kumekuwa na headlines nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Vyeti vya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, imekutana na Mrisho Mpoto kwenye sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja tangu RC Makonda ateuliwe na Rais Magufuli.
‘Mrisho Mpoto amesema kuwa hakuna mtu yeyote duniani ambaye yuko sawa, lazima ujiulize kuwa kwa nini watu wanaotaka vyeti vya Makonda hawakusema wakati ni Mbunge wa Katiba, kwa nini hazikuibuka wakati ni Mkuu wa Wilaya, au lengo lao wanataka aache kufanya kazi au aachane na ishu ya Dawa za Kulevya ‘>>> Mrisho Mpoto

0 comments:

Post a Comment