Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, March 15, 2017

Mh Temba ampa tano Makonda kwenye inshu ya madawa ya kulevya ameambia wewe ni shujaa

Ikiwa ni mwaka mmoja wa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda moja kati ya msanii kutoka Bongoflevani, Mh Temba ameongea kitu kilichomgusa kwenye mwaka mmoja wa Paul Makonda
‘Kwanza nianze kwa kumpongeza Makonda pia kitu ambacho kilinifurahisha kwenye huu mwaka mmoja wa RC Makonda ni kuona jinsi alivyokuwa anazunguka kwa wananchi kwa ajili ya kutafuta kero za Wananchi, pia kingine ni kuhusu hii ishu ya Dawa za Kulevya nampongeza sana Makonda wewe ni shujaa ishu ya Dawa za Kulevya si mchezo‘>>> Mh: Temba

0 comments:

Post a Comment