Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, March 15, 2017

Timu nane zilizofanikiwa kufuzu robo fainali ya UEFA Champions League 2016/2017

SUsiku wa March 15 2017 ilichezwa michezo miwili ya mwisho ya hatua ya 16 bora ya marudiano ya michuano ya
UEFA Champions League msimu wa 2016/2017, Man City walisafiri kucheza dhidi ya AS Monaco Ufaransa wakati
Atletico Madrid walikuwa wenyeji wa
Bayer Lerkusen ya Ujerumani .
Kwa bahati mbaya Man City wanaaga michuano hiyo kwa kukubali kipigo cha goli 3-1 hivyo wanaondolewa kwa aggregate ya 6-6 kutokana nakuruhusu kufungwa goli nyingi nyumbani, kwa upande wa Atletico Madrid wanafuzu kwa kuifunga Bayer kwa aggregate ya goli 4-2 licha ya mchezo wa leo kumaliza kwa sare tasa 0-0.
Michezo hiyo ndio iliyofunga hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017, kwa sasa michuano ya Champions League inaingia hatua ya robo fainali, kufahamu timu ipi itacheza na ipi itajulikana Ijumaa ya March 17 baada ya kuchezeshwa droo.

0 comments:

Post a Comment