Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Saturday, March 11, 2017

Gari la CHADEMA Laingia kwenye mkutano mkuu wa CCM

Katika hali isiyo ya kawaida Gari ya Chadema imeingia kwenye mkutano wa Ccm unaoendelea kufanyika mkoani Dodoma na kuzua taharuki na kusababisha vurugu za hapa na pale..
Mpaka sasa Gari hilo na dereva wake wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi.. Tutakuletea Habari zaidi muda sio mrefu.

0 comments:

Post a Comment