Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Saturday, March 11, 2017

Wajane waishitaki timu ya Chapecoense, Brazil

Wajane wa wanasoka watano wa klabu ya Brazil, Chapecoense, walioaga dunia mwaka jana katika ajali ya ndege Columbia, wameishtaki klabu hiyo.
Wajane hao wanadai fidia zaidi, wakisema kwamba kiasi walichoahidiwa na klabu hiyo hakikuzingatia uwezekano wa wanasoka hao kupata pesa zaidi katika malipo ya ridhaa.
Watu 71 wakiwemo wachezaji 19 wa Chapecoence waliaga dunia wakati wa ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment