Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Thursday, October 6, 2016

PROF.NDALICHAKO AWAFUKUZA CHUO WALIMU WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA

Walimu wanaotuhumiwa kumpiga mwanafunzi MBEYA wafukuzwa chuo
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi SEBASTIAN SINGULI .
Profesa NDALICHAKO amesema kwa mujibu taratibu za vyuo vikuu kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao ni kosa  la jinai na hawawezi kuendelea na taaluma ya ualimu kwa sababu wamekosa sifa ya kuwa walimu.

Aidha ameelezea kusikitishwa kwake pamoja kuchukizwa na kitendo hicho ambacho amesema si cha kawaida na hakiwezi kufumbiwa macho

0 comments:

Post a Comment