Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Tuesday, March 14, 2017

MTV Base Africa na wasanii wa kuwaangalia 2017, Tanzania wapo wawili

Good News nyingine ni hii kutoka Afrika Kusini ambako ni makazi ya tawi la kituo cha MTV ambacho kwa upande Afrika kinaitwa MTVBaseAfrica, hawa jamaa leo wametoa list ya wasanii 10 kutokea Afrika wanaotakiwa kuangaliwa zaidi mwaka 2017.
Nimeipata Full List naisogeza kwako hapa chini.

0 comments:

Post a Comment