Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Sunday, March 12, 2017

Maamuzi ya Dr. Tulia baada ya kukuta ubovu kwenye shule aliyosoma Mbeya

March 11 2017 Naibu Spika wa Bunge la Tanzani Dr. Tulia Ackson aliongozana na
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye na kufanya ziara katika shule ya Sekondari Loleza iliyopo mkoani Mbeya ambayo aliwahi kusoma.
Dr. Tulia alizikuta baadhi ya changamoto zilizopo shuleni hapo ikiwemo ubovu wa vyoo na mabweni na akaahidi kuzitatua
Lakini Dr. Tulia hakuishia hapo.. Alifunga safari hadi katika Hospitali ya Wilaya ya Tukuyu kujionea changamoto zilizopo na akaamua kutoa misaada mbalimbali katika hospitali za Wilaya ya Rungwe ikiwemo mashine ya kukaushia mionzi.

0 comments:

Post a Comment