Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Sunday, March 12, 2017

Anglikana wamefanya ibada ya kutwaa Jimbo kutoka kwa Askofu Mokiwa

Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Dr. Jacob Chimeledya amesema ibada iliyofanyika leo March 12 2017 ilikuwa ni ibada ya kutwaa Dayosisi ambayo ilikuwa chini ya Askofu Mokiwa ambaye alisimamishwa baada ya kuwepo kwa mgogoro ndani ya kanisa hilo.
Dk.Chimeledya amesema kuwa baada ya ibada hiyo Dk. Valentino Mokiwa hana mamlaka tena katika dayosisi ya Dar es salaam baada Jarome Napella kuchaguliwa kuwa kaimu kasisi mkuu wa dayosisi ya kanisa la Anglikana DSM na ndio atakuwa msimamizi wa jimbo hilo mpaka uchaguzi wa askofu mkuu utakapofanyika.

0 comments:

Post a Comment