Thursday, February 23, 2017
Hatutasita kuwachukulia hatua askari polisi watakaotumia barabara ya mwendokasi bila kibali maalum - Polisi
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kanda maalum ya Dar es Salaam limesema halitasita kuchukuwa hatua kali za kisheria kwa askari polisi wanaotumia vyombo vya moto pamoja na magari ya taasisi za serikali watakaobainika kutumia barabara ya mabasi ya mwendokasi bila kibali maalum huku likisisitiza kuwa marufuku ya matumizi ya miundombinu hiyo si bodaboda pekee.
0 comments:
Post a Comment