Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Tuesday, February 21, 2017

Air Tanzania Wakusudia kuanza safari kati ya Mtwara na DSM

Shirika la Ndege la Tanzania linakusudia kuanza safari zake za ndege kati ya Mtwara- Dar es Salaam baada ya miezi miwili ijayo na safari hizo zitakuwa za kila siku ifikapo mwezi june mwaka huu. February 28 mwaka 2016 Shirika la ndege Tanzania lilisitisha safari zake za Mtwara-Dar ambapo baada ya kuwezeshwa na serikali ya awamu ya tano na kufanikiwa kuwa na ndege tatu hadi sasa,shirika hilo linakusudia kuanza safari zake baada ya miezi miwili. Wakati ndege za serikali zikitarajia kuanza serikali imetenga shilingi bilioni kumi kwa ajili ya kuukarabati uwanja wa ndege wa Mtwara.

0 comments:

Post a Comment