Bodi ya mikopo ya elimu ya juu
imetangaza majina ya wanafunzi waliokosea kujaza form za mikopo kwa
kutokuweka sahihi,picha na vitu mbalimbali 2016/2017.
Wote mliokosea mnatakiwa kufika katika ofisi za bodi ya mikopo kuanzia tarehe 3 jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuviweka.
Lakini wale wote ambao hakuweka picha,vyeti ,picha z wadhamini wantakiwa kuzituma kwa anwani ya EMS kwe anwani ifuatayo;
DEADLINE NI TAREHE 7/10/2016
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.
KUONA MAJINA HAYO <<BONYEZA HAPA>>
0 comments:
Post a Comment