Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Friday, March 10, 2017

SAMATTA NDANI YA 11 BORA EUROPA LEAGUE...

Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta atajwa katika orodha ya wachezaji 11 waliofanya vizuri katika michuano ya EUROPA wiki hii.
Samatta ambae usiku wa jana ameiwezesha klabu yake ya GENK Kupata ushindi wa goli 5-2 huku yeye akifunga goli 2..

0 comments:

Post a Comment