Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Monday, March 13, 2017

Polisi DSM imethibitisha kumuachia Vanessa Mdee kwa dhamana

BMwimbaji wa BongoFleva Vanessa Mdee amekaa kwenye vichwa vya habari kwenye hizi siku 5 na ni baada ya Polisi kuthibitisha kwamba imemshikilia kutokana na tuhuma za sakata la dawa za kulevya.
Leo jioni Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kwamba Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana >>> “ Ndio, tumempa dhamana wakati tunaendelea na uchunguzi… amepewa aripoti kesho”

0 comments:

Post a Comment