Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, March 15, 2017

BREAKING NEWS: TRA YAPIGA KUFULI OFISI ZA TFF MCHANA HUU

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) leo na kuamrisha kuacha kila kitu ndani, hali hiyo imefikiwa kufuatia deni kubwa la kodi wanalodaiwa TFF. Kampuni ya Yono Auction Mart kwa idhini waliyopewa na TRA walihusika katika kuzifunga ofisi hizo na kuwataka kutotoka na kitu chochote ndani.

0 comments:

Post a Comment