Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, February 15, 2017

Gabriel Jesus wa Manchester City amevunjika mfupa wa tano wa mguu

Mshambuliaji Gabriel Jesus wa Manchester City amevunjika mfupa wa tano wa mguu maarufu kama metatarsal. Jesus ambaye alionekana ni mkombozi wa Man City katika ushambulizi alivunjika katika dakika ya 14 ya mchezo dhidi ya Bournemouth ambao City walishinda kwa mabao 2-0. Lakini tayari amepatiwa matibabu na na inaonekana maendeleo ni mazuri.

0 comments:

Post a Comment