Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Monday, January 30, 2017

Sudan yapinga amri ya Trump

Sudan yapinga amri ya Trump Monday, January 30, 2017 Rais wa Sudan Omar Bashir Rais wa Sudan Omar Bashir Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni nchini Sudan imemuita mwanabalozi wa Marekani mjini Khartoum kupinga hatua ya Rais Donald Trump ya kuwapiga marufuku raia wa nchi hiyo kuingia Marekani. Sudan inasema kuwa hatua hiyo ni ishara mbaya baada ya hatua nzuri za kuboresha uhusiano wa mataifa hayo mawili ikiwemo kupunguza vikwazo vya kiuchumi na ushirikiano katika vita dhidi ya Ugaidi. Amri hiyo ya Trump ilitikiza mpango mzima ya wakimbizi wa Marekani baada ya kutangazwa marufuku ya siku 90 ya usafiri wa raia kutoka Somalia, Sudan, Libya, Syria, Iran, Iraq na Yemen.

0 comments:

Post a Comment