Monday, December 19, 2016
MMILIKI WA JAMII FORUM APATA DHAMANA.
Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kukaa mahabusu kwa takribani siku 7.
Anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa nchini.
0 comments:
Post a Comment