Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Tuesday, November 15, 2016

Mix Baada ya barabara kuporomoka, Japan wametumia siku mbili kukarabati

Wiki iliyopita iliripotiwa habari ya shimo kubwa lilitokea baada barabara kuporomoka ghafla katikati mwa moja ya miji mikubwa zaidi nchini Japan. mako45 Ilielezwa kuwa Mporomoko huo ulianza kwa mashimo mawili madogo ambayo baadaye yalianza kupanuka hadi kuwa shimo kubwa lenye kina cha mita 30 na upana wa futi 98. chww4 Sasa leo November 15 2016 imeripotiwa kuwa barabara hiyo imefunguliwa, unaambiwa imefanyiwa ukarabati kwa muda wa siku mbili.

0 comments:

Post a Comment