Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Monday, October 3, 2016

Ufafanuzi wa Julius Mtatiro kuhusu mambo mbalimbali kwenye mgogoro wa CUF By Newsroom TZA on October 3, 2016 Share Tweet Share Share comments Wakati mgogoro wa kiungozi ndani ya chama cha wananchi CUF ukizidi kuchukua headline, leo kupitia kipindi cha Power Breakfast cha clouds FM, mwenyekiti wa kamati ya uongozi CUF, Julius Mtatiro ametoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali kuhusu mgogoro wa kiuongozi unaoendelea ndani ya chama hicho, moja ya swali ambalo amaeulizwa Mtatiro ni kuhusu hatua watakazozichukua ili kumtoa ofisini Prof. Lipumba, Mtatiro amesema …. ‘Baada ya Lipumba kuingia kwenye ofisi kwa nguvu, wanachama walijipanga kwenda kurudisha ofisi yao lakini tahtmini ilipofanyika palionekana kuwa panaweza kutokea umwagikaji wa damu…..kwa hiyo wanachama wakauchukua huo uamuzi na sisi tukaupokea huo uamuzi, hatuitaji kutumia nguvu’ ULIKOSA HII KAULI YA PROF LIPUMBA KUHUSU NAFASI YAKE CUF? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI Related Items CUF Share Tweet Share Share comments ← Previous Story VIDEO: Watafiti walivyochomwa moto Dodoma, Komandoo mauaji ya Vikindu alivyowatoroka Polisi Tupia Comments Advertisement Gari WCB walilomzawadia Rayvanny kwenye birthday Kitu Alikiba alifanya Mwanza kwenye FIESTA 2016 MGAWANYO WA STORIMGAWANYO WA STORI ZILIZOSOMWA SANA Utani wa Zitto Kabwe kwa Mbowe kushangilia goli la mkono la Tambwe Magazeti ya Tanzania October 3, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo Magazeti ya Tanzania October 2, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo Video: Kijana aliyetobolewa macho mawili ameelezea ilivyokuwa siku ya tukio NIANDIKIE EMAIL NIWE NAKUTUMIA KILA STORI Jiweke kwenye list ya watu wangu ninaowatumia stori kila zinaponifikia Join 15,002 other subscribers Barua pepe yako Home Nifahamu Wasiliana Nami Matangazo millardayo.com Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, kaa karibu na mimi kwa kubofya hapo chini ☟ Copyright © 2015, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by millardayo.com | Designed by idodoe.co.tz ☛ idodoe.co.tz CHECK NA MIMI KWENYE TWITTER #Tags Ayo TV soka ulaya magazeti habari daily duniani bongoflevanews Soka bongo Marekani video mpya Magazeti PB Bungeni AyoTV Rais Magufuli Facebook Twitter na Insta Tanzania news Diamond Platnumz Hekaheka AyoTV Magazeti 255 :)

Ufafanuzi wa Julius Mtatiro kuhusu mambo mbalimbali kwenye mgogoro wa CUF

on
Wakati mgogoro wa kiungozi ndani ya chama cha wananchi CUF ukizidi kuchukua headline, leo kupitia kipindi cha Power Breakfast cha clouds FM, mwenyekiti wa kamati ya uongozi CUF, Julius Mtatiro ametoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali kuhusu mgogoro wa kiuongozi unaoendelea ndani ya chama hicho, moja ya swali ambalo amaeulizwa Mtatiro ni kuhusu hatua watakazozichukua ili kumtoa ofisini Prof. Lipumba, Mtatiro amesema ….
‘Baada ya Lipumba kuingia kwenye ofisi kwa nguvu, wanachama walijipanga kwenda kurudisha ofisi yao lakini tahtmini ilipofanyika palionekana kuwa panaweza kutokea umwagikaji wa damu…..kwa hiyo wanachama wakauchukua huo uamuzi na sisi tukaupokea huo uamuzi, hatuitaji kutumia nguvu’

0 comments:

Post a Comment