Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, March 22, 2017

Zitto: Uvamizi wa Makonda Unabaraka za Rais, amwaga Ushahidi wake

"Nimefahamishwa kuwa waliomsindikiza RC wa Dar Clouds Media ni walinzi maalumu ambao kibali cha kuwatumia hutolewa na Rais au DG Usalama .
Kuna ulazima wa kuwapo Kwa uchunguzi Wa kibunge wa matumizi ya kikosi maalumu cha kumlinda Rais. Ni jambo baya na halivumiliki hata kidogo"

0 comments:

Post a Comment