Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Thursday, March 16, 2017

Walichokizungumza TFF kuhusu TRA kuzifunga ofisi zao

Moja kati ya stori zilizo trend jana March 15 katika soka ni pamoja na hii ya ofisi za makao makuu ya shirikisho la soka Tanzania TFF kufungwa na Yono kwa agizo la mamlaka ya mapato Tanzania TRA .
YONO ambao ni madalali wa mahakama na mawakala wa TRA walizifunga ofisi za TFF na kuagiza maafisa wote watoke nje huku wakiruhusiwa kubaki eneo hilo walinzi na gari binafsi zilizokuwa katika eneo hilo kutolewa nje kutokana na TFF kudai malimbikizo ya kodi na TRA.
Leo March 16 2017 millardayo.com imempata Afisa habari wa TFF Alfred Lucas azungumzie ishu hiyo “Kwanza niseme hii ni ishu ya kiserikali kwa wadau wake walipe kodi TFF ina deni la muda mrefu sio kwa sasa na deni hili sisi tutakaa na serikali kulitatua”

0 comments:

Post a Comment