Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Thursday, March 23, 2017

Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema Aposti maneno haya Baada ya Nape Kutumbuliwa Leo Asubuhi.

Mchungaji Peter Msigwa Leo Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Ameweka azi jinsi alivyolipokea suala la Aliyekuwa WAZIRI wa Habari sanaa,Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye Kutumbuliwa na Rais Magufuli.
Kwa Magufuli bashite ni mhimu na ni bora kuliko Nape ndani ya chama na serikali! Hongera JPM!

0 comments:

Post a Comment