Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Sunday, March 12, 2017

Matukio ya kibabe ya Zlatan Ibrahimovic aliyowahi kufanya katika soka

Staa wa soka wa kimataifa wa Sweden anayeichezea Man United Zlatan Ibrahimovic jina lake limekuwa kawaida kuingia kwenye headlines kutokana na uwezo wake wa kufunga magoli na umahiri wake wa kucheza soka.
Licha ya uwezo wake mkubwa na kupenda kutoa kauli za kujiamini na kuwashangaza watu, Zlatan ni moja kati ya wachezaji wenye hasira uwanjani, wakati mwingine anaweza kutoa kauli za kushangaza hata anapozungumza na waandishi ila leo nimekuletea baadhi ya vitendo vyake akiwa mchezoni.

0 comments:

Post a Comment