Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Tuesday, March 14, 2017

Majina ya waliofanya madhambi zaidi katika michuano ya kombe la FA

Wakati Chelsea ikivaa Man United na kuifunga bao 1-0 katika mechi ya robo fainali ya Kombe la FA, Eden Hazard ndiye mchezaji aliyefanyiwa madhambi zaidi katika michuano hiyo.
Tayari imefika hatua ya nusu fainali lakini Mbelgiji huyo hadi sasa anaongoza kwa kufanyiwa madhambi akifuatiwa na Wilfred Zaha ambaye timu yake ya Crystal Palace ilishang’olewa.

0 comments:

Post a Comment