Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, February 22, 2017

UN yatoa dola bilioni 4 kukabiliana na njaa

Katibu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres, ameidhinisha kiasi cha dharura cha dola billion nne na nusu kwa mashirika ya misaada ya kimataifa ili yaweze kukabiliana na janga la njaa.
Mapema wiki hii UN ilisema kuwa zaidi ya zaidi watu milioni 20 nchini Sudan Kusini, Nigeria, Somalia na Yemen wanakabiliwa baa la njaa.
Guterres amesema kuwa pamoja na ahadi Umoja wa Mataifa dola million 90 sawa na asilimia mbili ya kiwango kinachohitajika.
Ametoa rai kwa mashirika na jamii za kimataifa kufanya zaidi katika harakati za kukabiliana na janga hilo la njaa.

0 comments:

Post a Comment