Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Thursday, February 23, 2017

PICHA ya Mwisho aliyoposti Wema Sepetu kuhusu CCM

Hapo chini nimekuwekea picha ya mwisho aliyoiposti Wema sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagrama akiwa amevalia sare za chama cha Mapinduzi (CCM) Saa 24 kabla hajakihama chama hiko. ambapo katika picha hiyo aliandika maneno haya "Need I Say More...? na baada hapo ndipo zilipoanza kuonekana picha zingine akiwa viongozi wa Chadema.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilianio wa Chadema, Tumaini Makene amesema leo (Alhamisi) kuwa chama hicho kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo Wema Sepetu.
Msanii huyo ambaye alishinda taji la Miss Tanzania mwaka 2006, alikuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kabla ya kuhamia Chadema.

0 comments:

Post a Comment