Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, April 26, 2017

Pogba kuikosa manchester city kesho

Habari mbaya kwa mashabiki wa Manchester United kwa kuwa kiungo wao, Paul Pogba ataikosa mechi ya wapinzani wao wakubwa Manchester City, kesho. Kocha Mkuu wa Man United, Jose Mourinho amethibitisha kwamba mambo si mazuri. Mourinho amesema imeshindikana kwa Pogba kupona haraka maumivu ya nyama za nyuma za paja alizoumia.

0 comments:

Post a Comment