Tuesday, February 14, 2017
Manji asakwa na uhamiaji kwa kosa hili
Baada ya Sakata la Madawa ya Kulevya kumuandama mpaka kufikia kulazwa Hospitalini, Uhamiaji nao wamekuja na Mpya baada ya kukamata Passport Kadhaa ofisini kwake za watu kutoka nje ambao wanafanya kazi kwenye kampuni yake bila vibali vya uhamiaji...



0 comments:
Post a Comment