Sunday, January 8, 2017
TANGAZA BIASHARA YAKO NA EPAMA2255 BLOG
EPAMA2255 BLOG inakupa fursa wewe Mfanya Biashara Kuweza kutangaza Biashara yako kwa Bei nafuu na kwa urahisi zaidi kuweza kuwafikia wateja.
Tangaza Biashara yako nasi ili uweze kufikia malengo uliyo jiwekea katika Biashara yako, EPAMA2255 BLOG inauwezo mkubwa wa kutangaza Biashara yoyote ile kama vile Maduka, Bidhaa, Mikutano, Viwanja na Mashamba, Nyumba na Apartment.
Pia tunapokea matangazo yoyoye isipo kuwa matangazo ya Tiba asili na Sex Toys na Product za Kukuza makalio..
Mahitaji yetu ni Picha za Product yako unazo taka kutangaza ( zisizidi picha 10 ) na maelezo ya Product yako pamoja na Contact zako na Location Ulipo..
Kwa mawasiliano nasi 0717434613 au 0758034940 Namba zote zinapatikana Whatsapp..



0 comments:
Post a Comment