Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Monday, October 3, 2016

VideoMPYA : Baraka The Prince na Alikiba wametuletea video yao mpya

Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016 kwenye studio za producer Emma The Boy  na wakali kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 Baraka The Prince na Alikiba
Sasa leo kupitia kwenye ukurasa wa instagram wa Alikiba aliwasuprise mashabiki wao baada ya kuachia video mpya ya single hiyo iitwayo Nisamehe.
kibasss
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
ULIKOSA SABABU ZA WEMA SEPETU KUWAGOMBEZA TEAM WEMA BASI ITAZAME HII VIDE HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement

0 comments:

Post a Comment