Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Sunday, October 2, 2016

Sept 21, 2016 majina ya mwanzo ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016. Sasa basi habari njema leo October 2, 2016 MTV MAMA 2016 wametaja majina mengine ya wasanii watakaowania tuzo hizo ambapo kwa upande wa Tanzania wameongezeka wasanii watatu akiwemo Raymond wa WCB, Vanessa Mdee na Yamoto Band. . . Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Artist of the Year ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Yemi Alade (Nigeria), Wizkid (Nigeria). Mara ya kwanza Diamond Platnumz alitajwa kuwania kipengele cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa), Patoranking (Nigeria). . . Vanessa Mdee anawania kipengele kimoja cha Best Female ambacho anachuana na Josey (Ivory Coast), Mz Vee (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria). . . Alikiba ametajwa kwa mara ya pili kuwania kipengele cha Song of the Year kupitia wimbo aliyoshirikishwa na Sauti Sol uitwao Unconditionally Bae. Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol katika kipengele cha Song of the year na Artist of the year pamoja na Kansoul kwenye kipengele cha Listerners Choice Awards. ctysp5vwgaa3v8k Huku Uganda ikiwa imewakilishwa na wasanii wawili ambao ni Eddy Kenzo anayewania kipengele cha Best Live Act pamoja na Sheeba anayewania kipengele cha Video of the Year pamoja na Bebe Cool katika kipengele cha Listener’s Choice Awards. ctyazk3w8aa_xn0 Raymond wa WCB ametajwa kuwania kipengele cha Best Breakthrough Act ambacho anachuana na Babes Wodumo (South Africa), Emtee (South Africa), Falz (Nigeria), Franko (Cameroon), Nasty C (South Africa), Nathi (South Africa), Simi (Nigeria), Tekno (Nigeria), Ycee (Nigeria). deya Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Listener’s Choice Awards ambacho wanachuana na Burna Boy (Nigeria), Adiouza (Senegal), Kansoul (Kenya), Meddy (Rwanda), Prince Kaybee (South Africa), Zaho (Algeria), Kiss Daniel (Nigeria), E.L (Ghana), Bebe Cool (Uganda), Latifa (Tunisia), Saad Lamjarred (Morocco), Tamer Hosny (Egypt), Jay Rox (Zambia), The Dogg (Namibia), Sidiki Diabate (Mali), Adiouza (Senegal), Den G (Liberia), Jah Prayzah (Zimbabwe), LIJ Michael (Ethiopia), Messias Maroca (Mozambique). Hivi ndio vipengele 7 vipya vya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome Afrika Kusini. BEST BREAKTHROUGH ACT Babes Wodumo (South Africa) Emtee (South Africa) Falz (Nigeria) Franko (Cameroon) Nasty C (South Africa) Nathi (South Africa) Raymond (Tanzania) Simi (Nigeria) Tekno (Nigeria) Ycee (Nigeria) BEST FRANCOPHONE Franko (Cameroon) J-RIO (Gabon) Magasco (Cameroon) Serge Beynaud (Ivory Coast) Toofan (Togo) BEST FEMALE Josey (Ivory Coast) Mz Vee (Ghana) Vanessa Mdee (Tanzania) Tiwa Savage (Nigeria) Yemi Alade (Nigeria) ARTIST OF THE YEAR Black Coffee (South Africa) Diamond Platnumz (Tanzania) Sauti Sol (Kenya) Yemi Alade (Nigeria) Wizkid (Nigeria) SONG OF THE YEAR Sauti Sol & Alikiba (Kenya/Tanzania) Franko (Cameroon) Babes Wodumo ft Mampintsha (South Africa) AKA, Burn Boy, Khuli Chana & Yanga (South Africa) Dj Maphorisa ft Wizkid- Soweto Patoranking ft Wande Coal (Nigeria) Emtee ft Wizkid & AKA – Roll up Kwesta ft Cassper Nyovest (South Africa) Korede Bello (Nigeria) Harrysongz ft Olamide, Kcee, Iyanya, Orezi (Nigeria) Olamide (Nigeria) VIDEO OF THE YEAR Anatii & Cassper ft Nasty C (South Africa) PhFAT ft Al Bairre (South Africa) Tiwa Savage (Nigeria) Sheeba (Uganda) Youssoupha (Congo) LISTENERS CHOICE AWARDS Burna Boy (Nigeria) Adiouza (Senegal) Kansoul (Kenya) Meddy (Rwanda) Yamoto Band (Tanzania) Prince Kaybee (South Africa) Zaho (Algeria) Kiss Daniel (Nigeria) E.L (Ghana) Bebe Cool (Uganda) Latifa (Tunisia) Saad Lamjarred (Morocco) Tamer Hosny (Egypt) Jay Rox (Zambia) The Dogg (Namibia) Sidiki Diabate (Mali) Adiouza (Senegal) Den G (Liberia) Jah Prayzah (Zimbabwe) LIJ Michael (Ethiopia) Messias Maroca (Mozambique)



Mrembo na msanii  VeeMoney ambaye anaiwakikisha  vizuri Tanzania katika anga za mziki kimataifa, kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha zinazoonyesha kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Mama Awards kipengele cha Best Female ama msanii bora wa kike Afrika.
Vee alipost na  kuishukuru MTVAfrica  kwa nafasi hiyo ya kipee  ya kuwa kati ya wasanii watano bora barani  Afrika. Pia aliandika katika caption namna ambavyo mashabiki wake wanavyoweza kumpigia kura katika tuzo hizo.
vee-money

0 comments:

Post a Comment