
Leo
October 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji
wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Taarifa
iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Ikulu Jijini Dar
es Salaam imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Lawrence Mujungu Museru umeanza
jana tarehe 02 Oktoba, 2016. Kabla ya Uteuzi huo Prof. Lawrence Mujungu
Museru alikuwa akikai
0 comments:
Post a Comment