Wednesday, October 19, 2016
MWANZA: Maduka 70 yamefungwa na halmashauri ya Jiji
Takribani maduka 70 yaliyopo kandokando ya Shule ya Sekondari Pamba yaamefungwa na halmashauri ya jiji kwa tuhuma za wafanyabiashara hao kukwepa kodi. Displaying jamiiforums-20161019-0001.jpg
Hatua ya kuyafunga Maduka hayo imelenga kukusanya shilingi bilioni 2 kwa mwaka katika vyumba vya wafanyabiashara wa jiji la Mwanza.
Halmashauri ya jiji la Mwanza inamiliki jumla ya vyumba vya Maduka 1024.
Chanzo: JamiiForum



0 comments:
Post a Comment