Thursday, October 27, 2016
Mix Mtangazaji wa TV amempa ofa Obama kwenda Kenya… Lakini kwa sharti hili
Akiwa amebakiza siku chache kuendelea kuitawala nchi ya Marekani kama Rais wa nchi hiyo, Barack Obama amepewa ofa ya kushangaza na mtangazaji maarufu wa radio and TV aitwaye Sean Hannity, ambaye ni rafiki wa karibu wa mgombea Urais wa chama cha Republican Donald Trump.




0 comments:
Post a Comment