Tuesday, October 18, 2016
Mix Maamuzi ya mahakama kuu kuhusu maombi ya Mbowe kurudishwa kwenye jengo la NHC
http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/10/NNN.jpg?resize=576%2C400
Hatima ya maombi ya mfanyabiashara na mwanasiasa, Freeman Mbowe kutaka kurudishwa kwenye jengo la Billcanas baada ya kuondolewa na shirika la nyumba la Taifa ‘NHC’ kwa kudaiwa kodi ya Bilioni 1.3 imejulikana leo baada ya mahakama kuu kitengo cha ardhi kufuatilia mbali maombi hayo.



0 comments:
Post a Comment