Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Thursday, October 27, 2016

Burudani AY kataja sababu ya kuacha kuwasimamia Stereo na Ommy Dimpoz….

Ni Headlines za Ambwene Yessaya aka AY ambae leo October 27, 2016 amefunguka na kusema sababu ya kuacha kusimamia Wasanii kama Stereo na wengineo. Akiongea na millardayo.com & Ayo TV ameyasema haya>>>Hapana niliacha kwasababu kuna biashara zangu zingine ninazozifanya kama kuandaa vipindi vya Mkasi halafu sitaki kumdanganya mtu kwamba ninamsimamia lakini bado ninawasimamia mawazo ya hapa na pale, baada ya Ommy Dimopoz akafuata Stereo ndio wasanii ambao nilikuwa ninawasimamia’

0 comments:

Post a Comment