Thursday, October 27, 2016
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA(7)2016
Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema ya mkoani Shinyanga
Kutokana na ukweli kwamba si kila mtu mwenye acces na mtandao na itambidi kwenda internet cafe kuangalia,MASWAYETU BLOG tumekurahisishia mambo.
Endapo utahitaji huduma ya kuangaliziwa jina la mwanao au ndugu yako fanya yafuatayo;
1.Tuma jina la mwanao,mkoa,wilaya na shule aliyosoma
(mfano:juma paul-PWANI,KIBAHA,UHURU PRIMARY)
kwenda namba 0652740927
2.Huduma hii uatozwa tshs 1000 tu.(kwa ajili ya kuisuport maswayetu blog)
3.Tuma pesa kwenda namba 0768260834-MPESA
0652740927-TIGO PESA
5.Utajibiwa ndani ya dk.moja tu,tuma pesa kwanza ndio ujibiwe
====>>BOFYA << HAPA>> KUTYAONA MATOKEO
AU
===> UNAWEZA BOFYA <> KUYAONA




0 comments:
Post a Comment