Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Sunday, March 19, 2017

Paul Makonda Hafai kuwa kiongozi By Eric Shigngo

Kupitia ukrasa wake wa Facebook @ericshigongo ameandika hivi- Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa hatuhitaji kiongozi wa aina hii hata kidogo.
Nampenda sana Rais John Pombe Magufuli, sipo tayari kuona rais wangu anatukanishwa na iasi hiki na matendo yanayofanywa na Mkuu wa Mkoa.
NITAMPINGA MAKONDA KILA ANAPOFANYA YASIYOSTAHILI NA NITAMTETEA RAIS WANGU ANAPOTUKANISHWA!
E.J Shigongo

0 comments:

Post a Comment