Monday, February 13, 2017
Waziri Nape Nauye: Ujinga ni mzigo mkubwa sana
Kuna post mbili ambazo Waziri Nape ameziweka katika ukurasa wake wa twitter na kuwafanya watu waanze kuzitafsiri kila mmoja apendavyo huku wengine wakizihusisha na kauli yake ya kutaka busara itumike katika mapambano ya madawa ya kulevya.
Hata hivyo, Nape amedai post hizo hazina maana yoyote mbaya na badala yake ni masomo tu ya mwalimu Mwakasege



0 comments:
Post a Comment