Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, February 1, 2017

Chidi ataja ilipo gari aliyomnunulia Shamsa Ford

Chidi ataja ilipo gari aliyomnunulia Shamsa Ford Wednesday, February 01, 2017 Mume wa msanii wa bongo movie Shamsa Ford anayejulikana kwa jina la Chidi Mapenzi amesema gari alilomuahidi mke wake limeshafika likiwa limeingilia badari ya Zanzibar. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Chidi amesema "lile ni gari ambalo alijisikia na alilipenda akaamua kumnunulia mke wake, pesa ya kulilipia anayo lakini kinachoshindikana ni namna ya kulitoa bandarini ingawa hana wasiwasi kwa kuwa mke wake ni mvumilivu na anaishi maisha ya aina yote. Hata hivyo Chidi amesema hataki kabisa kusikiliza maneno ya watu kwa kuwa watu wanaongea mambo mengi ikiwa ni pamoja kusema amamkimbia mke wake na kwenda China wakati ukweli ni kuwa yeye ni mtu wa kusafiri mara kwa mara kwa sababu ya biashara zake.

0 comments:

Post a Comment