Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, February 15, 2017

Becka amzungumzia Mr. Blue na dawa za kulevya

Msanii Becka Title kutoka katika kundi la B.O.B Micharazo amefunguka na kusema katika kundi lao hilo hakuna mtu ambaye anatumia dawa za kulevya Beka amesema taarifa zilizopo mtanii kuwa baadhi ya wasanii kutoka kundi hilo wanauza na kutumia dawa za kulevya akiwemo Mra Blue ni uzushi usio na uhalisia wowote.

0 comments:

Post a Comment