Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Friday, February 3, 2017

Asha Boko awalilia 'comedians' wa kike

Msanii wa vichekesho Asha Boko amewasihi wachekeshaji wa kike kujitokeza kwa wingi ili kuweza kuchangamsha sekta ya uchekeshaji kwa wasanii wa kike nchini Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Asha amesema anashangazwa na uchache wa wasanii wa kike kwenye upande wa Comedian na kuwataka wasiogope kwakuwa hakuna wasanii wa vichekesho Bongo wengi kwa upande wa wanawake. Hata hivy amesema kwa sasa anampango wa kuachia movie zake peke yake hivyo anaomba sapoti ya kutosha kutoka kwa mashabiki zake ili aweze kutambua kiwango chake cha kuigiza kwa sasa.

0 comments:

Post a Comment