Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Wednesday, January 18, 2017

Rais Uhuru Kenyatta alivyokabidhi magari mapya 500 ya polisi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mwanzoni mwa wiki hii amezindua awamu ya tatu ya utoaji wa magari kwa idara ya polisi ambapo amekabidhi kikosi hicho zaidi ya magari mia tano. Magari hayo ni pamoja na yale ya kivita na ya usafirishaji wa maafisa wa polisi na yanatarajiwa kuboresha usalama nchini humo. Akizungumza kwenye uzinduzi huo Inspekta Jenerali wa polisi Joseph Boinet amesema….. ’Tumezindua magari madogo 50, malori mia moja na lori ndogo 350 na pia magari maalum yaani m-raps 25, magari hayo 25 kutoka China yana uwezo wa kuhimili risasi mabomu ya kutegwa ardhini’

0 comments:

Post a Comment