Saturday, January 28, 2017
Rais Magufuli ameondoka nchini hii leo kuhudhuria mkutano wake wa kwanza AU
Rais Magufuli leo ameondoka nchini kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwenye mkutano wa 28 wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika.
Rais Dkt. Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo






0 comments:
Post a Comment