Monday, January 30, 2017
Payet atua rasmi Marseille
Payet atua rasmi Marseille
Monday, January 30, 2017
Kiungo Mfaransa Dimitri Payet amerejea kwao Ufaransa na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Marseille.
Marseille imekubali kulipa pauni million 25 kwa West Ham ya England.
Awali, kiungo huyo alianza vituko ikiwa ni pamoja na kugoma kufanya mazoezi na wenzake.
Hali hiyo ilisababisha mashabiki kuanza kumshambulia ikiwa ni pamoja na kuchana picha zake wakisisitiza kuwa ni msaliti.




0 comments:
Post a Comment