Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Monday, January 30, 2017

Mose Iyobo na Harmorapa wapeana makavu ishu ya kuitwa nyani

leo January 30 2017 kupitia YOU HEARD ya XXL clouds FM, Soudy Brown ametuletea inayomhusu Mose Iyobo kumfananisha Harmorapa na Nyani ambapo haya ni majibu ya Harmorapa baada ya hiyo comment. ‘Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa Mose Iyobo kwa upande wake ameongea yafuatayo, Mimi sioni cha ajabu, kuna mtu anaitwa Simba na anafurahi, kuna mtu anajiita Dudu baya na anafurahi leo mtu kumuita mtu nyani yanakuja maneno mengi, wao wanatukana maneno mangapi na hujasikia nimeenda kusema sehemu’

0 comments:

Post a Comment