Propela

aa

million ads

Millionaire  Ads

Thursday, January 26, 2017

Askari waikamata gari aina ya Noah iliyobeba Wanafunzi 34 na Mwalimu 1 Jijini Dar es Salam leo

Askari wa Usalama barabarani jijini Dar es salaam leo wamekamata gari aina ya NOAH ikiwa imebeba watoto 34 pamoja na mwalimu wao na kufanya jumla ya watu 35 katika gari Wanafunzi hao ni wa darasa la kwanza na pili kutoka shule za Diamond, Olympio, Kisutu, Maktaba na Bunge. Gari hiyo imekamatiwa eneo la mzunguko wa Gerezani likielekea Vijibweni-Kigamboni.Dereva na wahusika wa gari hiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.

0 comments:

Post a Comment